Msaada wa windows 10 pro (kama upo arusha)

Msaada wa windows 10 pro (kama upo arusha)

dongbei

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
158
Reaction score
147
Habari wakuu,

Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha mjini, kama unaweza kuja Njiro pia siyo mbaya tutengeneze na urafiki kabisa.

Kama utahitaji malipo kwa kazi hii naomba unifahamishe mapema na ni kiasi gani.

Natanguliza shukrani za dhati,🙏
 
Back
Top Bottom