sir j
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 318
- 212
Kwema wana jamvi....?? Poleni na mihangaiko ya kutwa. Kama mada hapo juu inavyojieleza, niko na install Windows 10 kwa PC yangu lakini inaniletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye Screen short niliyoambatanisha.... Nahitaji msaada tafadhali kwa wenye utaalamu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Asante.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Asante.