DUMEGUY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 499
- 206
habari, nilifanya biashara na mtu simfahamu nilikutana nae kwenye mtandao mmoja wa biashara eletronics, simu aliisifia kua haina shida yeyote ila nilinunua na kusahau kuitest memory card nilivyofika nyumbani nikakuta hahisomi na alieniuzia nimempigia kasema halipi na nifanye chochote, nilikua naomba ushauri je naweza kumfungulia kesi ya mizi kwa mtandao au lah.