Msaada wa wordpress na Besa theme

Msaada wa wordpress na Besa theme

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari zenu ndugu!

Nimedownload besa theme nulled. Hapa nafanya mazoezi ya kutengeza ecommerce website. Kwenye desktop kila kitu nimefanikisha nnavotaka, shida ipo kwenye mobile version.

Yaani nikiweka kwenye mobile view, hio site ina display header nyengine kabisa ambayo hata haifanani na header ya desktop. Hii theme inaonekana ina mobile version separately ambayo haiwi affected na design ya desktop version. Nataka kubadilisha hii mobile version iendani na desktop version au niweze kutengeza different mobile header.

Kama kuna mtu ambae yupo familiar na hii theme anielekeze.
 
Sasa kwanini haukuweka snap hapa tuone inavyoonekana?

Chilubi chilubi chilubi weka both desk to mobile version.
 
Nimefanikisha tayari, kulikuwa kuna sehem yaani wakati nahangaika kusolve naipita hapo hapo kila wakati lakini sioni 😀
 
Back
Top Bottom