Msaada wa x mas

Msaada wa x mas

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Wana JF habari...

Kitu cha ajabu kimenipata nimeona niweke hadharani, nina rafiki yangu kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasiliana, lakini baadaye nikamwambia ukweli jinsi ninavyomzimia.

Alikataa..... baadaye wiki hii amenitumia sms nzuri kupitia Blackberry yangu ya XMAS, JE, hii maana yake ni nini?
 
Kwani alivyokukataa alisema kuwa mmekuwa maadui? Nyie ni marafiki wa kawaida kabisa hivyo ni haki yake kukutumia sms nzuri..acha kufikiria tofauti.
 
Kwa jinisi nilivoelewa..... Hapo maana yake you are still hang up on her/him, kua pamoja na kusema kua ulimuambia na akakutolea nje, bado una hopes kua atabadililsha mawazo. Hio condition inakufanya kutaka soma signs hata mahala ambapo hazipo.

Kwa upande wake ina maana kukushiba saana kama rafiki. Na kwamba pamoja na kusema ulitamka maneno ya mapenzi juu yake, mlipoongea ikaonekana haiwezekana (yawezekana mliahidi kila kitu kirudi kama hapo nyuma); mwenzio kalichukulia serious kusahau ya kale mpaka kukutumia message... Wewe wataka umanipulate maana ya message.... Hata hivo huo ni mtazamo wangu tu....
 
Wana JF habari...

Kitu cha ajabu kimenipata nimeona niweke hadharani, nina rafiki yangu kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasiliana, lakini baadaye nikamwambia ukweli jinsi ninavyomzimia.

Alikataa..... baadaye wiki hii amenitumia sms nzuri kupitia Blackberry yangu ya XMAS, JE, hii maana yake ni nini?

we unadhani maana yake ni nini??
 
Wana JF habari...

Kitu cha ajabu kimenipata nimeona niweke hadharani, nina rafiki yangu kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasiliana, lakini baadaye nikamwambia ukweli jinsi ninavyomzimia.

Alikataa..... baadaye wiki hii amenitumia sms nzuri kupitia Blackberry yangu ya XMAS, JE, hii maana yake ni nini?

Hapakua na umuhimu wa kutaja aina ya simu unayo2mia!! huo ndio ushauri wangu.
 
kwani ukikataliwa ina maana urafiki wenu umekwisha? au mshakuwa maadui?
 
mtumie vocha ya dola kumi akijibu ahsante ujue anakupenda sana
 
Hihiiihiiii...ameweka msisitizo ili uelewe uzito wwa shida yake!:lol:

Mh! mabig!! ngoja na mimi niweke msisitizo kwnye hii NOKIA JENEZA yangu nayo2mia kumshauri.
 
wewe utakuwa muhaja manake kwa kujisifia hamjambo !!!!!!!!!!!!! pingine ni kitochi
 
Ungekuwa unatumia ile simu ya iphone (original) na sms ikaingia humo hapo anakuwa ameshaanza kukupenda
 
Back
Top Bottom