Wana JF habari...
Kitu cha ajabu kimenipata nimeona niweke hadharani, nina rafiki yangu kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasiliana, lakini baadaye nikamwambia ukweli jinsi ninavyomzimia.
Alikataa..... baadaye wiki hii amenitumia sms nzuri kupitia Blackberry yangu ya XMAS, JE, hii maana yake ni nini?

Hapakua na umuhimu wa kutaja aina ya simu unayo2mia!! huo ndio ushauri wangu.
Hihiiihiiii...ameweka msisitizo ili uelewe uzito wwa shida yake!:lol: