msaada wa yahoo messenger

msaada wa yahoo messenger

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
Wana JF naomba kama kuna mdau anayo messenger ile ya zamani nataka ku install katika computer yangu nimetafuta katika net bila mafanikio. Kwani hii iliyokuwepo mpya ya Automatic uki log in nayo inafungua aikidhi matakwa yangu please wana JF tuma katika frankrwegoshora@yahoo.com
 
kwani mkuu hakuna option ya kudisable login with windows?
 
mimi ninazo ver 7.0.0.247 hadi ver 10.0.0.542, sema mkuu unataka version ipi hapo, 7, 8, 9 au 10??
 
Wana JF naomba kama kuna mdau anayo messenger ile ya zamani nataka ku install katika computer yangu nimetafuta katika net bila mafanikio. Kwani hii iliyokuwepo mpya ya Automatic uki log in nayo inafungua aikidhi matakwa yangu please wana JF tuma katika frankrwegoshora@yahoo.com

Sign out! then kwenye hiyo window ya yahoo, Baada ya password

1.Remember my ID and password
2.Sign Inn Automatically
3.sign inn as invisible to Everyone

Kwenye hizo option tatu unapewa option ya ku select(tick) ambayo unahitaji. kwa tatizo lako inabidi uondoe tick kwenye option zote. usiweke tick.
sawa mpendwa?
 
sign out! Then kwenye hiyo window ya yahoo, baada ya password

1.remember my id and password
2.sign inn automatically
3.sign inn as invisible to everyone

kwenye hizo option tatu unapewa option ya ku select(tick) ambayo unahitaji. kwa tatizo lako inabidi uondoe tick kwenye option zote. Usiweke tick.
sawa mpendwa?

absolutely wrong!
 
wewe tatizo lako ni hiyo "sign in automatically" mjumbe vivian amekujibu vizuri kabisa naona huyo GP ameamka vibaya!!!!
 
wewe tatizo lako ni hiyo "sign in automatically" mjumbe vivian amekujibu vizuri kabisa naona huyo GP ameamka vibaya!!!!

AAAHHH, SORE WAJUMBE HANGOVER BANA SI UNAJUA LEO JUMATATU!!.
ANYWAY, CHECK HAPA HIYO VERSION 10
 
Vivian big up na wana JF wooote kwa kunifanikishia hili mambo mukide nashukru sana mungu awazidishie kila palipo kuwa na mapungufu Amina
 
Back
Top Bottom