Msaada wa Zawadi stahiki inayomfaa Mzee wa Makamo

Msaada wa Zawadi stahiki inayomfaa Mzee wa Makamo

Son of Nun

Senior Member
Joined
May 8, 2017
Posts
179
Reaction score
78
Salamu wanajukwaa,
Husiana na kichwa cha habari husika ningependa mawazo yenu katika jambo hili.
Zawadi ni kwa ajili ya mzee wa makamo.
 
Waheshimiwa,
Wazo la Suti ni jema ila upande wa kipato na vipimo ndipo inapokuwa changamoto.
Ningependa zawadi nzuri ambayo haitamhushisha mhusika kwa namna yoyote yaani asifahamu iwe ya kushtukiza.
NB:
Iwe ya bei nafuu.
 
Kama hana nyumba mjengee nyumba nzuri ya kisasa mwekee na samani zake atafurahi zaidi
 
Saa au viatu kama utajua size take(mmhh lkn umesema baba mkwe apo labda umtumie mtoto wake) shati hasa hasa la special kama bado mk3we yupo peleka kitenge cha wax kizuri ili washone sare
 
Kama ni baba mkwe wa mkoani saaa no pleasee ilaa kama ni wa mjini sawaaa.....
Kama hayupo mjini mnunulieee suruali ya kitambaa na shati karibu vyote havicost hata laki.....suruali nzuri saana ya kitambaa kariakoo 40-50 mashati kuanziaa 30 ni mazuri saaanaaa nenda mtaa wa congo utakutaaa kilaa kitu mpkaa tai 15000
 
Salamu wanajukwaa,
Husiana na kichwa cha habari husika ningependa mawazo yenu katika jambo hili.
Zawadi ni kwa ajili ya mzee wa makamo.
Inategemeana huyo mzee wa makamo ni nani kwako, taja kwanza ni nani kwako then kuanzia hapo watu wanaweza wakafunguka zawadi vizuri. Yawezekana huyo mzee na baba mzazi, babu yako ama hata baba mkwe au jirani so funguka kwanza
 
Back
Top Bottom