msaada wabiashara

sharura

Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
15
Reaction score
0
Nina mili 3 nataka kuanzisha bia shara mkoa wa morogoro je nibiasharagani inayolipa kwamkoa ule kwani mie nimgeni wa hapo
 
Nina mili 3 nataka kuanzisha bia shara mkoa wa morogoro je nibiasharagani inayolipa kwamkoa ule kwani mie nimgeni wa hapo
Kwani we mwenyeji wa wapi ndugu na je ulishawahi kufanya biashara yyte ile? Biashara sio kila mtu anaweza kufanya ati! tena kwa eneo ambalo hulifaham na ni START UP bizness! nafuu ingekuwa ni tawi jingine unafungua
 
mie nimwenyeji wamkoa warukwa upande wabiashara.nilishawahi.kua mfanya biashara.napia nilikua nafanya biashara yaduka lachakula darslm temeke nasikia.biashara yanguo inatoka sana uko morogoro
 
Fanya utafiti wa kina katika eneo unalotaka kuanzisha hiyo biashara, get to knw needs of your customers/v2 wanavyopendelea angalia competativ wako na wiknes zao kaa chin take a dip brithii b4 takng an action 2stat up a buznez sio kila biashara ni biashara mkuu na usikubali ya kusikia chunguza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…