Msaada wadada wenzangu:Mbadala wa dawa nyingine nzuri ukiacha weave kwenye nywele fupi

Msaada wadada wenzangu:Mbadala wa dawa nyingine nzuri ukiacha weave kwenye nywele fupi

roxna

Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
66
Reaction score
64
Habari zenu......nina nywele fupi na nimekua nikitumia dawa ya weave na mafuta ya gel kwa mda sasa ila naona bado nywele haijakua vile navyotaka.......

kwa hiyo naomba mnipe maujanja ya dawa nyingine kwa nywele fupi na mafuta yake ambayo inafanya kazi vizuri zaid ya weave.....ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia bidhaa za cantu..
Kuna cantu moisture styling gel itakufaa na mafuta yake(leave in cream)..Ni nzuri Sana.
 
Back
Top Bottom