Habari zenu......nina nywele fupi na nimekua nikitumia dawa ya weave na mafuta ya gel kwa mda sasa ila naona bado nywele haijakua vile navyotaka.......
kwa hiyo naomba mnipe maujanja ya dawa nyingine kwa nywele fupi na mafuta yake ambayo inafanya kazi vizuri zaid ya weave.....ahsante