aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Sep 21, 2016 #1 Wadau nataka kuanza biashara ya kupeleka vitu vya kike hasa saa,cheni hellen, viatu nchini Zambia vipi kumekaaje? Hasa mji wa lusaka. Mazingira ya biashara kule Yapo vipi? Naomba kuwasilisha
Wadau nataka kuanza biashara ya kupeleka vitu vya kike hasa saa,cheni hellen, viatu nchini Zambia vipi kumekaaje? Hasa mji wa lusaka. Mazingira ya biashara kule Yapo vipi? Naomba kuwasilisha