Msaada wadau hii buton Inakazigani?

Inatumika zaidi kwenye nchi zenye theruji na barafu.
defrost

/diːˈfrɒst/

verb

free (the interior of a refrigerator or freezer) of accumulated ice, usually by turning it off for a period.

(of a refrigerator or freezer) become free of accumulated ice, usually by being turned off for a period.

"she opened the door to let the fridge defrost"

thaw (frozen food) before cooking it.

"defrost the turkey slowly"



kutoka: 22D Arnold st.
 
Nashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Inafanana kabisa na ile ya kim John u ya kufyatua makombora ya nyuklia
 
Hiyo inaitwa rear window defroster. Ikiwa on inapasha joto kioo cha nyuma cha gari kuondoa maji au umande ili uweze kuona vizuri.
Umemjuza vizuri...pia namshuri asiiwashe kama yupo Dar na jula saa saba mchana linawaka...
Kwa sisi tulio Arusha mara nyingi sana tunaitumia kuanzia mwezi wa nne mpaka wa saba huko...kunakuwa na ukungu asubuhi na jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri wako, nipo Mkoa /Wilaya yenye baridi sana hapa Tz ingawa sijawahi washa nadhani sasa nimejua matumizi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…