Kama hauna computer basi wps au MS office ya android inaweza fanya cha msingi usifanye kienyeji maana kuna wengine ubadili spreadsheet extension na kuweka .csv kitu ambacho sio sahihi kwa kuwa haitakuwa encoded na baadhi application hazitaweza kuisoma.
Create spreadsheet document ndani ya moja ya hizo app Kisha weka data zako na baadae save as .csv option zipo