wana jf aman kwenu,naomba mnijuze hili,kuna tofauti gani ilyopo kati ya kuapply kwa equivalent qualification kwenye sehemu iliyopo web ya TCU na ile iliyopo kwenye web ya NACTE au ni kitu kilekile?,na nimesikiasikia kuwa wale wanaotumia diploma wameanza kuapply,je wanaapply vp wakati tcu hawajatoa revised guide book 2014/15 au Nacte wametoa guide book yao?.msaada please.