Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Ndugu zangu,
Kwa anayefahamu vizuri, utaratibu wa kufanya hii mitihani ya TOEFL(Test Of English As a Foreign Language) naomba anielekeze katika nukta hizi:-
(i) Kwa hapa Tanzania vituo vya mitihani vipo mikoa ipi?
(ii) Usajili hufanyika kipindi gani na mitihani hufanyika kipindi kipi?
(iii) Usomaji wake ukoje?
(iv) Ada yake ni bei gani? Kama ni ada ya masomo/mtihani
(v) Ufafanuzi mwingine wowote ambao ni relevant na mitihani hii ya TOEFL
Shukrani