Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mm ni mwanafunzi mwaka wa tatu (sokoine university) nahitaji kufahamu uingiapo kazini loan board huwa wanakata kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingapi
Pleeeeez kwa Mwenye uzoefu atueleze .
Mkuu bado ni mwanafunzi huyo kasema hapo juu!!Umeajiriwa wapi, salary linasomaje, tuanzia hapo