Msaada wadau kuhusu urejeshaji wa mikopo tumalizapo chuo

simple N

Member
Joined
May 31, 2015
Posts
57
Reaction score
11
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mm ni mwanafunzi mwaka wa tatu (sokoine university) nahitaji kufahamu uingiapo kazini loan board huwa wanakata kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingapi
Pleeeeez kwa Mwenye uzoefu atueleze .
 
Umeajiriwa wapi, salary linasomaje, tuanzia hapo
 
Hofu ya nini mapema hivo hata utumishi wa umma hawajakuajiri na payroll ya serikali hujui utaingia lini, nashauri maliza chuo na uepuke disco zisizo za lazima hapo SUA. Ukishaingia kwenye ajira ndio utajua mchakato ukoje wa makato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…