ndugu naomba kufahamishwa hivi ratiba ya usajili wa veta na kuanza masomo ni mmoja kwa mikoa yote Na kama ndiyo je usajili unafanyika miezi ipi na wanaanza kusoma lini??
naomba kujuzwa wadau
Mkuu Veta huwa wanaanzakutoa Form za wanaopenda kujiunga na vyuo vyao kuanzania tarehe 1/08 wa kila mwaka adi tarehe 30/09 kisha mwezi wa kumi huwa ni mitihani ya usahili, watakao faulu matokeo yao hubandikwa mwisho wa mwezi November, na january ya mwaka unaofatia huwanza mafunzo, ila kwa maelezo zaidi unaweza kuingia kwenye website yao, www.veta.go.tz