Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Sasa tatizo zitakujaje kwangu notificationSocial media notifications ziko kwa yeyote aliyesajili kwa email hiyo, unaweza zuia tu, hizo notification kwenye email huko , ila hakuna aliyekuingilia.
Huyu jamaa kakupa jibuSasa tatizo zitakujaje kwangu notification
Fungua hiyo ya msg facebook then unsubcribe,hautapata tena notifications...
Asante lakn pia nsaidie issue moja namna ya kulog out Kwny Mahal pote nlipowah kuingia maan nshapotezaga cm na nyngin nliuza bila kufuga acc yngFungua hiyo ya msg facebook then unsubcribe,hautapata tena notifications...
Nafanyaje kulog out kwny sehemu zote then nbaki na hii ya kwanguKma kuna mtu amelogin kwenye Gmail yako ungetumiwa email.
Kuhusu wewe kutumiwa email inawezekana tu kuna spammer mmoja kapata email yako anakuchezea.
Mfano naweza pata email yako, nikaingia website fulani ikaniambia "enter email to subscribe labda newsletter ama chochote kile" baada ya kuweka email yangu na weka yako, makorokoro yote unatumiwa wewe badala yangu.
Maelezo yapo hapaNa
Nafanyaje kulog out kwny sehemu zote then nbaki na hii ya kwangu
Tatizo natumia smart phone co computer Chief-MkwawaMaelezo yapo hapa
Sign out of Gmail - Computer - Gmail Help
Depending on what device you use Gmail on, you can eithesupport.google.com
Login kwenye Gmail na computer Kisha chini kushoto utaona option ya ku sign out kote.
Inawezekana email account yako inafanana sana jina na email account ya huyo mtumiaaji mwingine, sasa wakati ataunganisha email account yake kwenye Facebook kakosea lakini aliyojaza katika makosa yake ni email account yako. Hii uwezako wa kwanzaSasa tatizo zitakujaje kwangu notification
Sawa je namna ya kulog out kwny sehemu zote nlizowah kuingia?Inawezekana email account yako inafanana sana jina na email account ya huyo mtumiaaji mwingine, sasa wakati ataunganisha email account yake kwenye Facebook kakosea lakini aliyojaza katika makosa yake ni email account yako. Hii uwezako wa kwanza
Wa pili inawezwkana wewe ulimpa mtu simu yako akatumia Facebook na wakati alipoulizwa kuweka email account kwa sababu ya usalama Facebook ikapendekeza email account iliyo active kwenye hiyo simu, na yeye bila kujua anafanya nini akachagua kuendelea na pendekezo hilo hivyo email yako ikaunganishwa na Facebook account yake
Hata smartphone unaweza request desktop site bonyeza tu menu click show desktop version.Tatizo natumia smart phone co computer Chief-Mkwawa
Ingia settings, then chagua Google then Manage Account, then nenda sehem ya Security. Baada ya hapo utaona sehemu yenye devices, utachagua Manage devices kisha unaweza kuzitoa kwa kubonyeza vidoti vi3 then unachagua Sign Out.Sa
Sawa je namna ya kulog out kwny sehemu zote nlizowah kuingia?
ThanksIngia settings, then chagua Google then Manage Account, then nenda sehem ya Security. Baada ya hapo utaona sehemu yenye devices, utachagua Manager device kisha unaweza kuzitoa kwa kubonyeza vidoti vi3 then unachagua Sign Out.
Ona picha hapo chiniView attachment 1806535
View attachment 1806536View attachment 1806537View attachment 1806538
Chief habari yako nina hili tatizo kila nikituma email nikiweka tu attachment sanasana nikiweka tu CV email haiendi inakaandika hivi "QUEUED" alaf inakaa kwenye outbox haitoki.Hata smartphone unaweza request desktop site bonyeza tu menu click show desktop version.
Jaribu kutumia web uone itakubali kutuma? Ikikubali hilo ni tatizo la app, jaribu kuclear cache na data za app uone kama itasaidia.Chief habari yako nina hili tatizo kila nikituma email nikiweka tu attachment sanasana nikiweka tu CV email haiendi inakaandika hivi "QUEUED" alaf inakaa kwenye outbox haitoki.
Naomba kujua tatizo litakuwa niniView attachment 3201512
Shukrani mkuu nimejarib kuclear cache na data imekataa ila nimetumia desktop version naona imekubali.Jaribu kutumia web uone itakubali kutuma? Ikikubali hilo ni tatizo la app, jaribu kuclear cache na data za app uone kama itasaidia.
Kuna njia ya kukwepa tatizo pia incase una haraka, email ikishakua queued nenda kwenye hio queue halafu forward email itakubali kutuma.
Hamna pesaKulikua na PESA KIASI gani?
KAZI ni kipimo cha UTU