Msaada wadau nahisi miwasho

kbo

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Nina mwezi wa nne sasa nahisi kama naungua sehemu za siri mpaka mapajani, nimewaona madoctor nimetumia karibia antibiotic zote lakini moto kama unazidi.
 
Sijakuelewa unaungua vipi?una upele?unapata maumivu ukikojoa?unatoka vaginal discharges zozote?
 
No mi ni mwanaume...sina discharge...ila ni kama miwasho kuanzia kwenye magoti kupanda juu sehemu yote ya siri mpaka ktk ya msamba kuelekea matakon...hakuna vipele wala nini..sina maumivu wakati wa kukojoa ila ni miwasho tu
 
Sina vipele, sipati maumivu yoyote wakati wa kukojoa
 
Kuna uwezekano unaallergy na aina ya nguo za ndani unazovaa
 
Asanten sana kwa mawazo yenu
 
Umesha kata ramli ama unashangaa.kam madokta wameshindwa.nami nliumwa san years ago nikachek magonjw ya msing nikaona no faster ramli ndo pone yangu otherwise ningekuwa nshalamba mchanga baba
 
Umejaribu kutumia anti fungal drugs kama clotrimazole cream au candistat au whitefield?? unaweza jaribu nunua moja ya hizo plus ununue na fluconazole caps 150mg bd kwa wiki moja.... in case ikiendelea rudi utoe mrejesho au kamwone daktari wa ngozi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…