msaada wadau,naitaji kujua makao makuu ya jeshi dsm yapo sehemu gani

Yapo kawe old bagamoyo road karibia na clouds Fm
 
ndo napeleka barua yangu ya kuhairisha mafunzo yao ya kikuda
 
naitaji kufika jkt makao makuu dsm,naomba msaada
kama unatokea kariakoo,posta,buguruni,temeke au gongo la mboto panda gar za Kawe hzo zitakushusha getin kwao kabisa. Ila kama utapitia njia ya Mwenge panda gar za Kawe hizo hzo lakn itakubid utembee maana hazifiki mlalakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…