kuna baadhi ya watu ambao miili yao hurespond differently wakati wakitumia usafiri sanasana ule wa umma.
Public transport..wengine hutapika, wengine huhisi kizunguzungu na pia kuna wale hujihisi joto joto..hili ni jambo ambalo kwa wakati mwingi husababishwa na tunachokiita insufficient oxygen hivyo ni vyema kuchukua nafasi mahala ambapo utaweza kupata hewa safi ili mwili wako uweze kusafisha damu sawasawa
kama shida hii ikiendelea waweza ukamuona daktari kwa mengi..