Msaada wadau tcu.

Msaada wadau tcu.

kimangalaa

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
34
Reaction score
3
Nasikia watu wakisema kuna yes au no ktk profile zao lkn mie cjaona hivyo n makosa nimefanya au zaid naona not yet processed
 
Nasikia watu wakisema kuna yes au no ktk profile zao lkn mie cjaona hivyo n makosa nimefanya au zaid naona not yet processed

column inayofuata baada ya not yet processed umeandikiwaje?
 
Checking in progress

ucjar bdo wanaangalia matokeo yako kma umekidhi vigezo vya hzo koz ulizochagua, then wakimalza kuchek watakuambia kama ni 'yes' kwa ulizokidh na 'no' kwa ulizovamia ambzo haziendan na matokeo yako
 
Kuna sehemu katika hio page inatakiwa ubonyeze press here then itabadilika from checking in progress to YES au NO
 
Imekubali lkn ndo yes 2 na no 3 af mda wa kubadili ushaisha vp ntapata chuo kweli?
 
Back
Top Bottom