Msaada wadau ukiibiwa ndani ya bank

laurentie

Senior Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
100
Reaction score
77
Habari za jioni wadau ukiibiwa ukiwa ndani ya bank na ikithibitika kuwa kwli uliibiwa ukiwa ndani ya bank je liability itakua kwa bank au itakua ya kwako mteja?ukiibiwa na kibaka ukiwa ndani ya bank na ikathibitika kweli uliibiwa na ushahidi upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ikiibiwa mikononi mwako iyo ni hasara yako.ni sawa tuu ukiibiwa ukiwa bar au kwenye basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…