Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
Nina ndugu yangu anafanya kazi kampuni Fulani sasa ,chakushangaza HRM wa hiyo kampuni ,kawaambia walinzi asiingie ndani,pia kazuia mshahara wake wa miezi miwili na kikubwa zaidi computer yake amepewa MTU mwingine atumie
Na akimpigia HRM hapokei,wala SMS hajibu
Mbaya zaidi hana ,BARUA yoyote ya ONYO,KUFUKUZWA wala KUSIMAMISHWA
Je hapa nani ana HAKI ?,nani atakua KAVUNJA mkataba?
Nawasilisha
Na akimpigia HRM hapokei,wala SMS hajibu
Mbaya zaidi hana ,BARUA yoyote ya ONYO,KUFUKUZWA wala KUSIMAMISHWA
Je hapa nani ana HAKI ?,nani atakua KAVUNJA mkataba?
Nawasilisha