Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Mjomba wangu ni mpenzi kichaa wa ligi ya uingereza. Amenitembelea na kwenye tv yangu hataki kitu kingine ila ligi ya uingereza. Nina king'amuzi cha startimes na nimelipia sh. 12,000. Je, ni channel ipi inayoonesha ligi uingereza?