Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,377 Oct 24, 2016 #1 Mjomba wangu ni mpenzi kichaa wa ligi ya uingereza. Amenitembelea na kwenye tv yangu hataki kitu kingine ila ligi ya uingereza. Nina king'amuzi cha startimes na nimelipia sh. 12,000. Je, ni channel ipi inayoonesha ligi uingereza?
Mjomba wangu ni mpenzi kichaa wa ligi ya uingereza. Amenitembelea na kwenye tv yangu hataki kitu kingine ila ligi ya uingereza. Nina king'amuzi cha startimes na nimelipia sh. 12,000. Je, ni channel ipi inayoonesha ligi uingereza?
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,894 Oct 24, 2016 #2 Chelsae 4 man u 0
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,135 Reaction score 48,827 Oct 24, 2016 #3 TV1 wanaonyesha mechi 1 tu siku ya jmosi. Kwa king'muzi kinachonyesha mechi nyingi ni DSTV. Kama una uwezo funga DSTV
TV1 wanaonyesha mechi 1 tu siku ya jmosi. Kwa king'muzi kinachonyesha mechi nyingi ni DSTV. Kama una uwezo funga DSTV