jambo1 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2009 Posts 241 Reaction score 29 Sep 18, 2011 #1 Habari zenu wana JF..! Kama kuna mwenye mtaala wa NACTE kwa Certificate na Diploma ya Computer Science naomba anisaidie. Asanteni sana. Tupo pamoja
Habari zenu wana JF..! Kama kuna mwenye mtaala wa NACTE kwa Certificate na Diploma ya Computer Science naomba anisaidie. Asanteni sana. Tupo pamoja
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Sep 18, 2011 #2 hebu ka google utapata wacha uvivu..................huh
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 18, 2011 #3 Wabogo wanapenda kudesa kweli.
jambo1 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2009 Posts 241 Reaction score 29 Sep 18, 2011 Thread starter #4 mikatabafeki said: hebu ka google utapata wacha uvivu..................huh Click to expand... Asante Mkuu..,yaani nimegoogle mpaka bundle imeisha..,kama utapata hata link yake naomab nitupie..!
mikatabafeki said: hebu ka google utapata wacha uvivu..................huh Click to expand... Asante Mkuu..,yaani nimegoogle mpaka bundle imeisha..,kama utapata hata link yake naomab nitupie..!
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Sep 18, 2011 #5 jambo1 said: Asante Mkuu..,yaani nimegoogle mpaka bundle imeisha..,kama utapata hata link yake naomab nitupie..! Click to expand... safi kwa kujituma hbu weka bundle nyingine then u google teeeena
jambo1 said: Asante Mkuu..,yaani nimegoogle mpaka bundle imeisha..,kama utapata hata link yake naomab nitupie..! Click to expand... safi kwa kujituma hbu weka bundle nyingine then u google teeeena