Msaada Wadau

Natanguliza shukran,Leo no deadline ya hiyo assignment then Sina uzoefu wowote na mambo ya kutuma kwa email kazi.
 
Mbona kuna email address umeweka kwenye List ya watu wengine kutoisoma (Bcc) na ina tarehe hapo haiwezi kwenda
 
Natanguliza shukran,Leo no deadline ya hiyo assignment then Sina uzoefu wowote na mambo ya kutuma kwa email kazi.
Ujumbe unatakiwa kuangalia email address hata kama kuna kitu kimemiss kidogo mfano unaweza kuweka herufi kubwa badala ya ndogo pia ni kosa, kama kuna character imemiss ni kosa.

Kutokana na ujumbe jaribu kumuomba email yake upya au ulizia wenzio imekuwaje wametumia email ipi?
 
Toa email hii kwenye cc DSM/DPLM/22/10400@gmail.com

Hii itakuwa ni registration number yako wewe umeweka kama email ndio ambayo imegoma kwenda wamekurudishia ujumbe.

Registration number weka kwenye Subject ya email yako kumpa urahisi lecture wako
 
Angalia vizuri baruapepe ya kutuma kazi husika. Huenda unachanganya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…