Prince Dikembe
Member
- May 24, 2012
- 16
- 1
1. kuna post za serikalini kama za Tutorial Assistants vigezo uwe na GPA kuanzia 3.8 so ukiweka cheti 2 cha chuo ambacho kinaonyesha class tu watajuaje kuwa ume-meet vigezo?
2. Kwa mfano nikaambatanisha vyote (Cheti na Transcript) kutakuwa na tatizo kweli hapo wadau...!?
NAOMBA MNIJUZE TAFADHALI!!
Umejijibu Tayari, Fuatilia hiyo Rangi nyekundu.
Umejijibu Tayari, Fuatilia hiyo Rangi nyekundu.
Asante mkuu but wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana hawataki kabisa kuona transcripts so once nikaambatanisha vyote viwili (Cheti na transcript) inaweza pelekea maombi kuwekwa kapuni...hebu funguka zaidi hapo mkuu!!
Najiamini tena sana 2 sema masharti yao yamenichanganya kidogo...all in all thanx 4 ur concern mkuu!!Jiamini, au unawasiwasi na uwezo wako?