Msaada wadau

Msaada wadau

uzalendo

New Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
3
Reaction score
0
Ni hivi punde nimenunua laptop na niliyemwagizi alinitumia na akaniambia haijawa installed na program za office , kwa upande wa maswala ya IT kusema ukweli niko NIL. wakati nafanya utaratibu wa kununua hizo program kwan kuna watu wananiambia kuna nyingine fake yaani after installation the progarm can be blocked due to pirate sijui ni kweli, some told to order through internet but Im still in dilema, plse any assistance
 
Back
Top Bottom