H HAZINA YETU Senior Member Joined Mar 29, 2013 Posts 174 Reaction score 33 Apr 13, 2013 #1 Habari za w'k end wapendwa?naomba mnisaidie kwa mtu anaye resit form six anaruhusiwa kurudia masomo mawili?na kama ndio je cheti chake kipya kitasomekaje.
Habari za w'k end wapendwa?naomba mnisaidie kwa mtu anaye resit form six anaruhusiwa kurudia masomo mawili?na kama ndio je cheti chake kipya kitasomekaje.