david08606
Member
- Jul 18, 2013
- 47
- 4
Nashindwa kuelewa hawa jamaa wa necta jins walivyopanga matokeo ya ualimu mana wameweka centre no tu,agg, point na masomo. Nachoshindwa kuelewa ni jins ya kusoma huyu ni nani.in short hakuna no za mitihani wala majina ya wanafunz so 2nasomaje kujua huyu ni nani