Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
wadau naombe ushauri,matokeo yangu ya O'level hayakuwa mazuri kwan nilipata D mbili,nikajiunga na vyuo vya ufundi na sasa nimeshamaliza iyo kozi ya ufundi..sasa nataraji kutafuta kazi..je kwa matokeo ya o level ya D mbili itaweza kunipatia kazi kweli ama nikifoji icho cheti cha o level..msaada wenu tafadhalini