N Nsk Member Joined Aug 22, 2013 Posts 50 Reaction score 3 Dec 27, 2013 #1 Naomben msaada majina ya walio appeal mkopo yanatoka lin?
donmasam Senior Member Joined Jun 19, 2013 Posts 161 Reaction score 36 Dec 27, 2013 #2 sheet na mwisho ni lini kuappeal....!??
B BISHOPSAMY Senior Member Joined Jul 31, 2013 Posts 101 Reaction score 5 Dec 27, 2013 #3 kuappil mwisho ni tarehe 31/12/2013.hivyo baada ya mwisho wa kuappilll unaesabu siku tisini,90 Days,baada ya apo watatoa majina ya waliopata mkopo kwa kuappil.
kuappil mwisho ni tarehe 31/12/2013.hivyo baada ya mwisho wa kuappilll unaesabu siku tisini,90 Days,baada ya apo watatoa majina ya waliopata mkopo kwa kuappil.