Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
Tokea juzi najaribu kufungua document zangu zilizopo kwenye Micro Softword 2003 hazifunguki, power point inafunguka kama kawaida, sasa sijui ni virus au nini naomba msaada wa kitaalamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
install nyingine ili utatue fasta tatizo hilo au jaribu kui up date kwa net
valex
Asante sana Valex your solution is perfect thank you so much be blessed! niliupdate kama ulivyonielekeza na zimeanza kufunguka sasa am very happy manake ningepoteza kazi zangu zote nilikuwa namashaka sana, thank you again!install nyingine ili utatue fasta tatizo hilo au jaribu kui up date kwa net
valex
Cha kushangaza zaidi na wewe mwenyewe jina lako valex unamiliki hiyo updater nini? teh teh ok asante kwa mawazo yako mazuri.Asante sana Valex your solution is perfect thank you so much be blessed! niliupdate kama ulivyonielekeza na zimeanza kufunguka sasa am very happy manake ningepoteza kazi zangu zote nilikuwa namashaka sana, thank you again!