Iwapo huhisi tatizo lolote wala usihangaike na issue za kukata kimeo.
Na ukihisi shida kinywani nenda hospitali.
Usikimbilie kwa wakata vimeo wa mitaani. Unaweza kujizulia shida kubwa zaidi kuliko tatizo lako la kwanza. (mfano tetanus, maambukizi mengine, kupoteza damu nyingi, ukimwi nk).