mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,041 Reaction score 257 Jun 8, 2019 #1 Salaam wanabodi Naomba link ya kujoin whatsap group la wafugaji wa ng'ombe na mbuzi, Nategemea kuanza ufugaji, hivyo nahitaji maarifa kutoka kwa wafugaji na wadau kutoka huko. Nategemea msaada Maendeleo hayana vyama
Salaam wanabodi Naomba link ya kujoin whatsap group la wafugaji wa ng'ombe na mbuzi, Nategemea kuanza ufugaji, hivyo nahitaji maarifa kutoka kwa wafugaji na wadau kutoka huko. Nategemea msaada Maendeleo hayana vyama