Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waajiri wengi upenda kuajiri watu walio na uzoefu, nawe kwa sababu huna uzoefu unaweza kuomba kujitolea kwenye mashirika mbalimbali yalioko karibu na wewe, ili kupata uzoefu, uwezi juwa utendaji wako wa kazi unaweza kupendwa ukapata ajiramimi ni kijana nliyemalimaza certificate in law mwaka 2010, lakini bado sijafanikiwa kupata ajira popote ..ninawaomba waungwana mnishauri hata pia mnaoweza kunisaidia nikapata ajira nitashukuru sana jamani. Ninashukuru sana
mimi ni kijana nliyemalimaza certificate in law mwaka 2010, lakini bado sijafanikiwa kupata ajira popote ..ninawaomba waungwana mnishauri hata pia mnaoweza kunisaidia nikapata ajira nitashukuru sana jamani. Ninashukuru sana
chet c ki2,xoma wewe.
Hivi kumbe kuna maneno mapya ya kiswahili!