zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
nipen ushauri
nipen ushauri
nipen ushauri
Mbona jina lako na avatar yako inaonyesha wewe ni mwanamke, sasa unawapenda maMrs wa watu kwa ajili ya nini? Unapenda kusagana? Nenda kanisani kaombewe, hilo sasa ni pepo, si bure.nipen ushauri
Msaada wajameni Mwenzenu NIKIONA mr&Mrs wameongozana hapo hapo naanza kutamani Mrs wa mtu,
Yaani sasa hv nawatamani sana alafu nahisi kupigika.
Msaada wenu jaman
Msaada wajameni Mwenzenu NIKIONA mr&Mrs wameongozana hapo hapo naanza kutamani Mrs wa mtu,
Yaani sasa hv nawatamani sana alafu nahisi kupigika.
Msaada wenu jaman
We si ulinikimbiaZebedayo kwani lile ilani lako kule love connect la kutafuta kimwana halikufanikiwa....