axel fowly
Senior Member
- Aug 14, 2012
- 137
- 49
Habari zenyu wanajamvi naombeni kujua institute of rulal development planning(IRDP) Ya dodoma wanatoa lini matokeo ya waliochaguliwa kujiunga pale na diploma maana hatuoni dalili yoyote...kwa anae jua tafadhali naomba anijuze..Mchango wako ni wamuhimu sana