Msaada wajameni

MWANA ileje

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
744
Reaction score
572
Kwa anaefahamu wapi znapatikana dawa aina ya OLIGOCARE na ADDZOA Kwajili ya kuboresha wingi na ubora wa maniiHapa jijin Dar anifahamishe itakuwa vyema zaid endapo ntajua na bei zake
Muwe na mchana mwema
 
Aisee kwenye suala la kuongeza nguvu na mbegu za kiume suluhisho pekee ni mlo na mazoezi pekee, dawa za viwandani sikushaurii
 
Mazoez yanaimarisha tu misuli ya uume ila ujazo na ubora wa sperms Mazoez haya contribute chochote hyo ni hormonal issue mkuu
 
Mi ni mhanga mstaafu wa ilo tatizo,nalijua ipasavyo saivi nina mke na watoto, sperms dhaifu ni zile zisizo na mkia ambazo haziwezi kutunga mimba,NARUDIA KWA HERUFI KUBWA TIBA YA UHAKIKA NI LISHE NA MAZOEZI
 
Ok thanks...je mazoez ya aina gan labda? Pia ulifanya kwa muda gan hayo mazoez? Ujue mazoez yakiwa too much nayo pia ni source ya tatizo
 
Unaweza kushauri aina ya lishe kuboresha mbegu za u, uzazi ili iokoe jahazi letu la kizazi cha digitali Chifu [emoji848]
Mi ni mhanga mstaafu wa ilo tatizo,nalijua ipasavyo saivi nina mke na watoto, sperms dhaifu ni zile zisizo na mkia ambazo haziwezi kutunga mimba,NARUDIA KWA HERUFI KUBWA TIBA YA UHAKIKA NI LISHE NA MAZOEZI
 
Mi ni mhanga mstaafu wa ilo tatizo,nalijua ipasavyo saivi nina mke na watoto, sperms dhaifu ni zile zisizo na mkia ambazo haziwezi kutunga mimba,NARUDIA KWA HERUFI KUBWA TIBA YA UHAKIKA NI LISHE NA MAZOEZI
Mbona hutujibu maswali yetu chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…