Msaada wajameni

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
Habari zenu wana~jamvi,kuna dogo hapa kachaguliwa kusoma UDSM,B.A.in Statistics mkopo kapewa 2.83Milioni,sasa naomba anayejua kuhusu haya yafuatayo anijuze ili nijue jinsi ya kumsaidia.1)Siku za kusoma kwa semester zote mbili ni ngapi?.2)Naomba orodha ya Fuculty requirement.3)Ada ya kulala Hostel iwe Mabibo au Main Campus huwa ni shiling ngapi kwa siku?.4)Chakula huwa kinapatikana kuanzia cha Shilingi ngapi?.Nawaombeni sana kwa mwenye taarifa hizo ili nifanye mchanganuo then nimwongezee kiasi gani kwa ajili ya ktmpa peace of mind awapo chuoni.NATANGULIZA SHUKRANI

Siku za kusoma kwa semester mbil ni 238
Mabibo hostel ni 250/= na Main Campus ni 430/= kwa siku.. na hzi hulipwa kwa semester ikiwa pamoja na Caution Money ya 10,000/= kwa first year ambayo inakua
MABIBO - 41,500/= kwa semester ya kwanza na 29,750/= kwa semester Ya pili
Main Campus Inakua 63,000/= kwa semester ya kwanza..
Na chakula kwenye Cafeteria ni Kinaanzia 600/= kwa wali Maharage, 800/= mpaka 1500/= kwa Ugali nyama choma. na hiyo ni kwa semester iliyopta, So bei hua ni zinarange hapo lakin ni zinaweza kubadilika wakat wowote.
Na kwenye Faculty Requirement kwa upande wa B.A Statistics cdhan km kuna zaid ya Calculator.. Asiwe na wasiwasi, ataish tuu kusoma na kumaliza pia.. tuko pale tumemtangulia na tutampokea tuu..

Ahsante sana ndugu yangu kama ndo hivyo dogo asipojiingiza kwenye makundi mabaya atasoma tu!

maseno,u ar very kind. all the best, i lov ur charisma!bless u

ukishajua utafanya nini?

ukishajua utafanya nini?

WEWE SIRLIM IBWE badili tabia yako dogo utaolewa mtoto wa kiume! Kuna mtu humuhumu JF alishawahi kukuambia kuwa una tabia za kike kweli naanza kuamini yawezekana kweli una HORMONE za kike.Kusoma thread kwenyewe husomi unarukia tu mambo.Mi sijawahi kuona mtoto wa kiume ana tabia za ajabu kama wewe,na kwa tabia hii ya kurukia mambo utashindwa kuishi watu.OVYOOOO!

me nilijua ananiboa mimi 2.

nashukuru kwa dua zako. Unataka kuoa? Tuma posa.

Kwani hao madogo pesa yao imeongezwa sh. Ngapi? Nina statioary karibu na chuo fulani nataka nipandishe bei.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…