Nna Girlfriend wangu,yuko busy sana..naona kama naanza shindwa kuwa nae.msaada wandugu.Yeye ratiba zake zinabadilika at anytime.Mnaweza mkawa nae mnapata vinywaji.hapo hapo anapigiwa simu anaitwa kazini.nimechoka mwenzenu.msaada please.
Ndugu, ukikua utaelewa. Mtakapokuwa wanandoa kutakuwa na ubusy wa kila aina, kuna kazi, safari, ugonjwa na wakija watoto ndo utaipata! Na watoto wa siku hizi hawalii hadi wahisi wazazi wanakula good time!
shostito unataka kunambia hata saa 8 usiku akipigiwa cm anatoka? na kwaupande wangu kama amekueleze nature ya kazi yake sidhani kama ni tatizo la huyawezi weka manyanga chini wenzio wakusaidie.