Msaada Wajameni!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Mimi nina mama yangu mzazi nilimpeleka hospital wakamwambia anavidonda vya tumbo akaendelea na tiba sasa anasema anasikia harufu kali sana hata saa nyingine tumekaa naye anaziba pua anasema anasikia harufu mbaya kama watu wamechoma majani! sasa mimi sijui hii inatokana na hivyo vidonda au ni ugonjwa mwingine?

Msaada na ombeni.
 
Isije ikawa anasumbuliwa na maradhi ya wasiwasi!!!
Coz uzee na wasiwasi kama dereva na konda!
 

yawezekana mwili wake unanuka harufu ya dawa alizokuwa anameza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…