Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Ndio maendeleo yenyewe hayoAisee serikali ijitathmini...vijana wengi baada ya miaka 50 watakuwa wapo nje
Kama unataka mji cheap Kabisa nenda HatayKwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki
Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar, Ankara, Antalya, Istanbul na miji mingine upi mji mzuri kuishi?
😄😄😄Lawama zote apewe samuya na serikali ya mbogamboga, baharia tayari ameshaanza kuwazia kujichimbia kwenye injini ya meli akaishi kwa kina Yakuz.