Msaada: Wakala wa kuninunulia bidhaa iliyoko Kuala Lumpur, Malaysia

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Kuna bidhaa nimeipata online iko Malaysia. je Tanzania nitampata wakala wa kuniagizia, mwaminifu mwenye ofisi maalum kwa kazi hiyo?
 
Ndio naweza kukufikishia hapa nchini.

Ghalama ya usafirishaji inatokana na uzito wake,

Nitaupokea mzigo ofisini: Petaling Jaya (Selangor), Then unasafirishwa kwa ndege kuja Tanzania

Angalizo
- Iwapo kutakuwa na Kodi/ VAT baada ya mzigo kufika nchini uwe tayari kulipia
- Ghalama utakazo lipia mamlaka husika itatupa mchanganuo baada ya mzigo kukaguliwa.

Zaidi pitia hii link: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

KARIBU
 
nakujia pm. ingawa ni item moja tu simple
 
Back
Top Bottom