Ndio naweza kukufikishia hapa nchini.Kuna bidhaa nimeipata online iko Malaysia. je Tanzania nitampata wakala wa kuniagizia, mwaminifu mwenye ofisi maalum kwa kazi hiyo?
nakujia pm. ingawa ni item moja tu simpleNdio naweza kukufikishia hapa nchini.
Ghalama ya usafirishaji inatokana na uzito wake,
Nitaupokea mzigo ofisini: Petaling Jaya (Selangor), Then unasafirishwa kwa ndege kuja Tanzania
Angalizo
- Iwapo kutakuwa na Kodi/ VAT baada ya mzigo kufika nchini uwe tayari kulipia
- Ghalama utakazo lipia mamlaka husika itatupa mchanganuo baada ya mzigo kukaguliwa.
Zaidi pitia hii link: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
KARIBU
Karibu.nakujia pm