Msaada wako kwa huyu mdada tafadhali

Mlimazunzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
415
Reaction score
53
Nawasalimu tena kwa mara ya pili wakubwa shikamooni wadogo habari zenu.

Wakubwa naombeni msaada wenu wa mawazo,kuna mdada rafiki yangu na jirani yangu pia mumewe yuko nje ya nchi mie sikujua kumbe ana mwanaume anacheat nae,na ktk uhusiano wao mdada amepata mimba anataka aitoe ili kunusuru ndoa yake,alipomshirikisha jamaa anaecheat nae kuwa waitoe hy mimba jamaa kamjia juu sana na kumwambia hakuna kutoa na wala hajawahi kufanya hivyo! Ajabu sasa jamaa nae ana mke na watoto wanne!kwa sasa jamaa amesitisha mawasiliano yote ya simu na email hadi facebook kablock kisa hataki mimba itolewe,huyu mdada kachanganyikiwa alifanya siri lkn juzi kati hapa ilibidi anishirikishe kutaka ushauri,naombeni mawazo yenu juu ya huu utata wa hawa wenye ndoa.


 
mhhh patamu hapo!!!sasa jamani hata kutumia kinga walishindwa?? halafu hilo jamaa ni mume wa mtu lina watoto tayari halafu linang'ang'ania mimba aliyompa mke wa mtu!? i knw it is immoral to abort na nisingependa mdada afikie uamuzi huo unless it is doctor's recomendation..! anyway sometimes doing the wrong thing might be the right decision...,kwanza amecheat mume wake pili amepata mimba so yeye ndio mwenye uamuzi sasa abaki na mimba na ndoa yake ife while ndoa ya jamaa ianaendelea kusustain,au atoe mimba amkasirishe jamaa cheater but aokoe ndoa yake..,hizi tamaa za miili zinapofikia mahala mtu unashindwa hata kujiprotect!!!
 
sasa huu ni ushauri wa ajabu.kumbukeni moral status ya mimba.mtoto tayari ni memba wa specie yetu.pia doctor ku councel abortion ni kinyume na hippocratic oath na viapo na maadili yake.kazi yake ni kutibu tu siyo kuua.
Halafu anaweza kufa akitoa hiyo mimba,au asizae tena.pia aweza kuua mwanae na bado ikajulikana kwa huyo mume mtarajiwa,akakosa mtoto,na mume na akaharibika kizazi. Huo ni msalaba dada aubebe.azae mwanaye.hawezi kuficha baya kwa kuendelea kufanya baya.
 
two wrongs never make one wright
 
OMG!!!! Etiiiiii? Uwiiiiiiiiii

Will be back let me think twice dah hizi situation nyingine ngumu oooo la la la la kama copy and paste
 
Jamani jamani, mambo mengine haya hata kushauri sijui unashauri nini jamani. Daaaaaa ngoja kwnza.
 
Honestly nachoweza kusema the dirty game that they were playing has now come to an end, siafiki mwanamke kutoa mimba the damage has been done so she has to get ready to face the other side of his husband including huyo mwanaume wa mtu, kuna vitu vingine ushauri uko nje haina haja ya kutoa ushauri nikikutana na huyu mwanamke nitamuuliza swali moja tu "When you were doing it what did you expect? So she has to deal with it yeye na huyo mwanaume wa mtu they will have to learn from their mistakes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…